namini sikuzote ukweli unapobainika kinachofata ni aimbu mana ukweli utakua umejulikana na hakuna pakujifichia mana kila mahala patakuwa hapatoshi mimi namini wegine wanachekelea ila kwabadae watakuja kujuta mana laha itakua kalaha sio fulaha tena mana kila mfanyavo mnakuta tofauti na mnavopaga je kama wewe mwanahalakati ukotayali kukubaliana na hio hali kwakweli inauma ukifikilia unaona hainamana tena nibola kufikilia mambo megine