SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
nipe dili ,mkuuMwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,
ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.
Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
Sawa sawa maticha tupo wengi sana cha msingi ujira tu ukiwa wa kuridhisha kaz itafanyikaMwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,
ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.
Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
Tuchekiane kwa namba 0715476787, good offerMwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,
ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.
Kwa mazingira ya maeneo ya kazi na mwanafunzi pia tutafurahi kupata mwl wa KIKE.
Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
Mwalimu bado hajapatikana
haaaaaah!!! kumbeee!!!!Wewe hutafuti mwalimu, unatafuta mwanamke....endelea kusubiri ..
Bado hujapata mwalimu, piga 0715476787 nikushauri nn ufanye
NIPO BT MI MWANAUME 0764726071
Wewe hutafuti mwalimu, unatafuta mwanamke....endelea kusubiri ..
Mtoto ni wa jinsia gani?Mwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,
ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.
Kwa mazingira ya maeneo ya kazi na mwanafunzi pia tutafurahi kupata mwl wa KIKE.
Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
Mtoto ni wa kikeMtoto ni wa jinsia gani?
Unatafuta mwenye PhD au
Aaaahaha ama kweli hutafuti mwl may kuna kngne,umeandkiwa namba kibao hapo ukadai uta pm...au wote wamekataa kama wamekataa basi kuna tatzo huko.
Sawa kabisa. Kwa kweli mtoto wa kike ni vema mwalimu wake awe wa kike. Umefanya vizuri sana.Mtoto ni wa kike