yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
We mleta mada unajua maana ya Mwalimu? Kumbe ndio maana humu jf watu huropoka hovyo na kuwabeza Walimu kumbe hata maana ya Mwalimu hawaijui. Wanadhani mtu yeyote anaweza kuwa Mwalimu kwa taaluma ya Ualimu.
Anyway, nakushauri utafute mtaji ufanye mambo mengine. Vinginevyo ujaribu shule za binafisi ingawa huko Nako Kwa sasa kuna ugumu baada ya kuwa na wahitimu wengi na wako uraiani. Ingekuwa km huko nyuma ingekuwa rahisi