Habari wanajf.
Mimi mwalimu wa Mathematics na Ict, naomba connection ya kupata kazi inayohusiana na taaluma yangu. Nina shahada ya ualimu
Kazi ninazoweza fanya.
1. Kufundisha hisabati, commerce na Ict
2. Data entry
3. Kazi zinazohusisha matumizi ya kopmyuta ispokuwa programming.
4. Kufanya kazi za mitandao ya simu,
Nipo iringa kwa mawasiliano 0764125128