Pole ndugu yangu pia karibu mtaani tupige kazi. Hii ni serikali ya "HAPA KAZI TU". Jaribu kutafuta kazi yoyote itakayo kupatia kipato halali sio lazima ushike chaki. Wenzako wapo makwao tangu wanahitimu 2015 hawana ajira na hawataki kutoka ndani ya boksi wanalalama tu. Kaanga hata vitumbua uingize walau 2000 kwa siku si haba