Silver-Nitrate
Member
- Mar 30, 2017
- 11
- 9
Sawa ndugu.Seen tusubr waje
Acha tungoje neema.Kwa masomo hayo MBNA kaz ushapata?? Kikibwa tu wanafunz wakukubal
Hello mambo vp ndugu ushafanikiwa kupata kazi ?Habarini Wanajamvi.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25. Nina Shahada ya awali(Bachelor's Degree) ya Sayansi na Elimu katika masomo ya Kemia na Baiolojia.
Ninatafuta kazi ya ualimu wa masomo tajwa hapo juu katika Shule za sekondari,Shule za msingi za mchepuo wa kiingereza na Vyuo vya kati.Yeyote atakayeguswa na uzi huu na kuwiwa kunisaidia asisite kuwasiliana nami kupitia PM.
Ninatanguliza shukrani.
Bado Mkuu.Hello mambo vp ndugu ushafanikiwa kupata kazi ?
Ni pm mkuu kama bado hujapata kuna moja nimeiona kwenye groupHabarini Wanajamvi.

250, unapokea