Ila wanaokuja lazma ujue wabaya sura
Nasubiri nauli eti.Atoto katika ubora
Doooh! Mchumba kumbe mkali hivi!mi sio msodoma pambaf
Aiseee!!jwani akupe atoto
Afunasikiaga eti wewe mzuri haijawhigi tokea apa mjini
Sasa
atoto umeona kaandika vzur?
[emoji121]Wadau natafuta mwalim Mwenye degree anaesubiri ajira awe mke..
Sifa..
1. Awe mrefu
2. Msabato
3. Preferably msabato awe below 28
Mimi nakaa dar elim yangu degree , nafanya kazi serikalini na niko dar