@Tuvalo, usimkatishe mwenzio tamaa bana! Anaweza pata wake wa maishani kama huyu https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/435091-sasa-nimeamini-jf-ni-kila-kitu-hatimae-am-in-a-relationship.htmlhttps://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/435091-sasa-nimeamini-jf-ni-kila-kitu-hatimae-am-in-a-relationship.htmlMkuu...Hivi mpaka Uje JF kutafuta Mchumba,Ina maana huko Mtaani hawapo au ndo Udomozege?..Samahani lakini
Sio kwamba nabagua ila ndio nimeona sahihi zaid. Ni kwamba mimi n me aged 23 na 2015 ntakuwa nshagraduate hivyo natafuta mrembo wa kuishi naye( mchumba) awe mwanachuo wa ualimu ngaz yeyote aged btn 18-21. Kwa aliye tayar ani PM tupeana macontact plz nahtaj serious women coz ningekuwa natania ningeenda jokes
Mkuu...Hivi mpaka Uje JF kutafuta Mchumba,Ina maana huko Mtaani hawapo au ndo Udomozege?..Samahani lakini
Mkuu...Hivi mpaka Uje JF kutafuta Mchumba,Ina maana huko Mtaani hawapo au ndo Udomozege?..Samahani lakini