Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,600
- 21,814
Wakati huku Dr Magufuri anaendelea kumtimulia vumbi Zee La Richmond..... Kule Diamond Platinum anazidi kuwanyoosha haters.... Epl nako Gunners mwendo mdundo.... Kwa hali kama hii kwann nisinenepe bwana agrrrrrrrrrrriiiiiii!
ha haa! mi mwenyewe kitambi kinaanza kunichomoka hapa...Kule Ozil anatia kambani, huku Msukuma anamchakaza mzee wa mnanionea!!.. Na kule kwa mtogole ndio daah
Nenepa kwa raha zako mkuu...
Hamnaga akili mnajua kuvua chupi tu
hata kuvua chupi ni akili,au akili unaielezea kivipi.Hamnaga akili mnajua kuvua chupi tu
Unataka nivae chupi milele? Lazima ivuliwe wakati wa kukojoa, wakati wa kuoga na wakati wa "kulalwa". Una lingine?
Mbona wewe unabinuliwa na hatusemi? Achana na chupi yangu we mwanaume haikuhusu