Raisi Kikwete wakati ana badili jina barabara ya Old Bagamoyo kuwa Mwai Kibaki sherehe ilifanyika morocco na kumalizikia hapo hapo. Lakini sasa hiyo barabara haifai. Maeneo ya TMJ hospital ni kero. Barabara ni mbovu mno na ni aibu kwa kweli. Foleni kubwa inasababishwa na kipande hicho. Mashimo mno, maji, barabara imelika kwa maji.
Hivi viongozi au manispaa wako wapi?
Kaka hujamtendea haki Mwaikibaki, umetumia jina lake kimakosa, yeye hausiki, ungeandika hivi - BARABARA YA MWAIKIBAKI DAR ES SALAAM AIBU TUPU" maana mtu akisoma heading asifungue ndani hataelewa, - USIWE KAMA WAANDISHI WA HABARI WA MWIGULU .....

chanzo cha uharibifu wa brbr unajilikana ni kiziba kwa mtaro unaopeleka maji baharini, nafikiri ss wabonge bila viboko na shuruti watu hawawajibiki kwenye nafasi walizopewa.