Hawa watu sina hamu nao! Kuna mmoja nilimchukua kumvua aisee ana sugu mapajani kumbe akitembea hua panasuguana pamekua peusi tii! Nilipata kinyaa na hamu ya show ikaisha hadi leo nikiwaona nawapisha tu kama dereva wa Zakaria na kibao cha 'Karibu Tarime'