VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Mvua na jua bora nini?
Jua lina jasho, muwasho, vikwapa, ngozi inakuwa haina mvuto, cancer, uchovu, linakausha mabwawa, linaua mazao etc
Mvua ina baridi, uvundo, magonjwa, vifo, kuharibika miundo mbinu, linakata umeme, kuharibika mazao pia, na kufanya watu wasiamke asubuhi kwenda kazini.
Mvua na jua bora nini?
Cheki na waupako alisema anaweza kuizuia. Ha ha ha ha :loco: