mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,414
- 7,024
hiyo 2000 ni kubwa mno, watu wanatoa 200 na siku zinaenda. Japo sarafu siku hizi hazitakiwi zinapunguza mapato. Ifike wakati na nyie wachungaji muone aibu kuwa na washirika masikini huku nyie mkiishi maisha ya kifahari na anasaMajitu majinga na yanazidi kuwa majinga kila siku. Na ka elfu mbili kako ka mawazo ulikotoa then unategemea ubalikiwe?
Kama ni muajiriwa unalipwa kuanzia laki 4 basi sadaka ni angalau 10000 na zaka 40000 kila mwezi. Jumla ni 50000 tu.
Watu ndiyo maana ni masikini. Mimi najua kabisa unalipwa 5M then mwisho wa mwezi sioni zaka aisee nakupigia simu utume changu mapema mno.
Jifunzeni kutoa acheni uchoyo... hata nikinunua range na wewe si unabarikiwa? Unapata furaha gani baba yako wa kiroho anatembelea IST au Harrier tako la nyani? Fanya mitikasi ukiweza apate range kali.
WaTZ tuache roho za kichoyo shenzi kabisa
Sadaka na zaka ni WIZI. Mungu mwenye utajiri kwa nini tena umtolee sadaka?Majitu majinga na yanazidi kuwa majinga kila siku. Na ka elfu mbili kako ka mawazo ulikotoa then unategemea ubalikiwe?
Kama ni muajiriwa unalipwa kuanzia laki 4 basi sadaka ni angalau 10000 na zaka 40000 kila mwezi. Jumla ni 50000 tu.
Watu ndiyo maana ni masikini. Mimi najua kabisa unalipwa 5M then mwisho wa mwezi sioni zaka aisee nakupigia simu utume changu mapema mno.
Jifunzeni kutoa acheni uchoyo... hata nikinunua range na wewe si unabarikiwa? Unapata furaha gani baba yako wa kiroho anatembelea IST au Harrier tako la nyani? Fanya mitikasi ukiweza apate range kali.
WaTZ tuache roho za kichoyo shenzi kabisa
Mkuu umewaza nini? Weka andiko lako vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣Majitu majinga na yanazidi kuwa majinga kila siku. Na ka elfu mbili kako ka mawazo ulikotoa then unategemea ubalikiwe...
Na wame kuja na mbinu ya kuweka vitu vya chuma uki dondosha jero kila mtu ana sikia jamaa kaweka jerohiyo 2000 ni kubwa mno, watu wanatoa 200 na siku zinaenda. Japo sarafu siku hizi hazitakiwi zinapunguza mapato. Ifike wakati na nyie wachungaji muone aibu kuwa na washirika masikini huku nyie mkiishi maisha ya kifahari na anasa
Ni heri nikatoe sadaka yangu direct kwa Yatima na Maskini ninaokutana nao barabarani kuliko kutoa kwenye taasisi zinazoitwa Makanisa. Huko sadaka yangu haifanyi lolote zaidi ya kutumiwa na watu wachache kwa maslahi yao binafsi.Majitu majinga na yanazidi kuwa majinga kila siku. Na ka elfu mbili kako ka mawazo ulikotoa then unategemea ubarikiwe?...
Hujamuelewa....We utakua mchungaji uchwara yani unawapangia masikini walioumizwa na matozo kiasi cha kutoa acha ulofa wewe na utafute kazi sadaka sio mtaji wala kazi
Nimeamini wabongo wavivu....Mshikaji kaongea katika njia ambayo watu wachache tu ndo wanaweza kuelewa hapa, Asante mchungaji mie Sina ata baiskeli ila we unatembelea range, acha wajinga waendeleee kuwa wajinga na waelevu waendelee kuneemeka kupitia wajinga
Unaogopa kutoa jero italiaWeee wakati wa jero ya noti aai ni jero kwa kwenda mbele atleast saizi Mungu analamba buku maisha magumu
Uzuri yeye anaona sirini hivyo anaelewa😀
YA kujimalizaWengine wote wametoa kutokana na ziada ya mali zao; lakini huyu mama ingawa ni fukara, ameweka kila kitu alichokuwa nacho, hata na kile alicho hitaji kwa ajili ya riziki yake.”
Sadaka tunawapa kuku na vikolombwezo tunawapa, na bado mnawala waimba kwaya wenye makalio marefu( kondoo walonona).Majitu majinga na yanazidi kuwa majinga kila siku. Na ka elfu mbili kako ka mawazo ulikotoa then unategemea ubalikiwe...