Kama zikiungana bado zinabaki "Nchi" basi ndio kuvunja kwenyewe Muungano, huo muundo haufai![/QUOTE
Nadhani hujafanya home work yako vizuri ili kuelewa! Labda nikupe mfano, USA kila state ina serikali yake, UK kuna serikali za kingdom za Whales, Scotland na Northern Ireland na zinajulikana hivyo. Kinachovunja muungano sio wingi wa serikali bali ni utashi wa kisiasa. Kama uwepo wa serikali ya zanzibar hakuvunji muungano kwa nini kuwepo kwa serikali ya Tanganyika kuvunje muungano? Think Big!