M Mwalimu Dismas New Member Joined Apr 25, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Jan 28, 2013 #1 serikali kushindwa kuwapangia vituo vya kazi waalimu walio hitimu vyuo vya ualimu tangia mwaka jana hadi leo inatuelewesha nini kuhusu inavyo jali na kudhamini elimu ya watu wetu?
serikali kushindwa kuwapangia vituo vya kazi waalimu walio hitimu vyuo vya ualimu tangia mwaka jana hadi leo inatuelewesha nini kuhusu inavyo jali na kudhamini elimu ya watu wetu?
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,463 Jan 29, 2013 #2 unaizungumzia serikali gani?