Kipigo kimeanza kukolea ndio Serikali inataka Museveni awe msuluhishi ?
Mimi kwa yeyote anayetaka hivyo sikubaliani naye, awe Pinda au Mbowe
Tuliona mambo ya Chemical Ally aliyekuwa Waziri wa habari na msemaji wa Saddam Dictator (RIH) alipoona majeshi yamekaribia Baghdad aliutangazia ulimwengu kuwa keshoyeke wakaokote maiti uwanja wa Ndege kwa jinsi watakavyowateketeza Wanajeshi wa Muungano wakisaidiwa na USA.
HAYO MAPATANO FANYENI FIB & JWTZ TUKISHAINGIA KIGALI