Mungu hayupo, usibishe

Umeenda ku copy ChatGPT nyie mna bore sana this is too much. You cant think of your own. Nincompoop. Rubbish kabisa.
 
Mungu yupo, na ushahidi ni hii pumzi yake ya uhai tunayovuta, kama hutaki, kaa na upumbavu wako mpaka siku unakata pumzi ndio utamjua unaemrudishia pumzi na uhai ni nani!
Bangi za kuvutia tunduni ni mbaya sana. Haya hujaelewa unabwatuka tu kama uharo. Takataka kabisa ya msalani. 🤣
 
Umeenda ku copt ChatGPT nyie mna bore sana this is too much. You cant think of your own. Nincompoop. Rubbish kabisa.
Rules of JF engagement:
1. Address arguments with counter arguments
2. Don't attack the arguer
3. Don't address the context of the argument.
 
Hujaweka wazi msimamo wako pamoja na hoja zako za Msingi pia, kuhusu kutokuwepo kwake. Bado hujajitofautisha na hao uliowaponda.
 
 
sikiliza viongozi wakiapa Mungu awasaidie katika kutekeleza mambo ya serikali, anza na tukio la kuwashwa mwenge wa uhuru na kuanza mbio zake kitaifa huko mkoani Pwani, wanaapa kwa Mungu awasaidie.
Yaani unataka kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa maneno ya wanasiasa ?
Hao watu wanaweza kuuza Mama zao kama itawasaidia nyadhifa
 
Ukijua maana ya Mungu kuwa ni yule aliyefanya uwepo wetu basi yupo,hatuwezi tu kuwepo hapa by chance.
 
Mashoga wengi ndio wanaopinga kuwa hakuna Mungu,.
Mpumbavu husema moyoni mwake kuwa. Hakuna Mungu.
Huyo Mungu kwa nini aliumba binadamu wapumbavu wanaosema yeye hayupo, Wakati angeweza kuumba binadamu wema tu, watakao sema yeye yupo siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu wenu anajielewa kweli?
 
Hao ni Watu wapendao sifa za kijinga na dawa zao ni kuwapuuza tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kusema yeye yupo siku zote na wakati wote, Badala yake alishindwa kufanya hivyo na akaruhusu uwepo wa binadamu wanaosema yeye hayupo, Huyo Mungu yeye ndio MPUMBAVU.
 
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Upepo upo ukivuma unasikika, upepo unapimika na kuthibitishika upo. Upepo unapimwa kwa vifaa kama Anemometer na Windvane. Vituo vya hali ya hewa hupima upepo kila siku kwa sababu upo na unathibitishika upo.

Njaa ipo unaihisi, ndio maana ukihisi njaa unakula chakula.

Sasa...👇

Huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Huyo Mungu haonekani, hashikiki, hasikiki, haisiki na wala hapimiki kwa namna yoyote ile.

Huyo Mungu ni mawazo yenu ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hakuna Mungu.

Ukibisha eleza na thibitisha huyo Mungu yupoje?

Eleza huyo Mungu yupo kwa namna gani?

Eleza ulijuaje Mungu yupo na si imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa?
 
Mungu yupo, na ushahidi ni hii pumzi yake ya uhai tunayovuta, kama hutaki, kaa na upumbavu wako mpaka siku unakata pumzi ndio utamjua unaemrudishia pumzi na uhai ni nani!
Uhai una faida gani?

Pumzi ina faida?

Eleza faida ulizopata kwa kuwa na pumzi na uhai.

Kwani tulimuomba huyo Mungu atupe pumzi?

Au ni kiherehere chake?
 
Analeta hoja mfu za Mungu kwenye Karne hii.

Wapalestina huko wanauwawa kama mchwa, mmeona akiwasaidia?

Walokole walichomwa moto na mchungaji hapo Uganda, huyo God wenu yupo wapi?

Hapo Kenya juzi juzi waaminio walikuwa wanakufa kwa kutokula kisa kwenda mbinguni ambapo hakupo.

Hapo Kilimanjaro Kuna watu walikanyagwa kisa mafuta ya mwamposa.

Wanao kwenda kuhiji huko miji yenye utakatifu wa uongo wanakufa, Yuko wapi?

Hayupo, hajawahi kuwepo ila ni ngano za kale za kiarabu, kiyahudi, kiajemi, kichina, kihindi na nyingine zozote
 
Uhai una faida gani?

Pumzi ina faida?

Eleza faida ulizopata kwa kuwa na pumzi na uhai.

Kwani tulimuomba huyo Mungu atupe pumzi?

Au ni kiherehere chake?
Mkuu embu mwambie atuelezee kwanza hiyo Pumzi ni nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…