Mungu atenda miujiza ARUSHA


Mkuu huyo kiumbe Arusha alikuwa hana uwezo wa kuitisha kikao na kuwakoromea madiwani, tena ukizingatia na meya wao waliyemuweka kifidadi ndio kabisaaa, hawezi kuthubutu kuonyesha dharau Arusha maana yeye alikuwa ni zaidi ya kinyesi, tena ndio amesaidia sana kuiua CCM Arusha kwa wananchi kuona udhaifu wa utendaji wake... poleni wana Mwanza.
 
Msibake kaburini, watu wameshatangulia Galilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…