MUNGU Amejibu maombi yangu.

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
1,749
Reaction score
1,153
Wasalaam. Nianze na kumshuru m/mungu mana nilichokua nakitaka nimekipata, miez kadhaa ilopita nilileta uzi apa nikitaji cd au dvd kwa masomo ya o level . Juz nimeckia clauds kuna mwl katangaza ana dvd za masomo ya o level pia anatafuta walimu wa kusaidiana nao kaz . Nimechukua no yake zikikamiliza ntazinunua mana zitakua zimenipunguzia galama ya mdogo wangu kwenda shule,
 
sawa usisahau Sadaka kwa aliye juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…