Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

Rudisha Gharama za Mahari pamoja na Za ndoa na Harusi.
 
Pole kwa huyo mwanaume mana ameoa majnuun!!!
 
Hauna akili
 
UPINDE MWINGINE HUU...... halafu ukienda private umtongoze matusi kibaoooo.... -eti- "mie kidume, usindhalilishe" bado napata kiguguMIZI....
 
ningekuwa huyo mume wako unajikuta unamimba bila kukutaarifu naakili itakukaa sawa
 
we george hivi we ni mke au ni demu uko geto
 
Wanawake aina yako ni mizigo kweli.

Mimi nilioa nikiwa nimepanga vyumba 3 mjini hapa, mjinga mwenzenu akaanza kulazimisha tuhamie nyumba nzima nikamwambia haiwezekani maana majukumu yashakuwa makubwa na kipato hakijaongezeka sababu zenyewe za kitoto tu eti hapo hapatoshi kwa ajiri ya wageni wake ndugu marafiki, akawa haelewi na alivyo mjinga akampigia mama yake na wasimamizi wa ndoa eti namdharau simsikilizi ndoa ina miezi sita tu hapo nikalamba mabao mawili matatu kama kadi ya njano.

Kilichofuata hadi ninavyoongea hapa nishatoa kadi nyekundu tayari ndoa ikifanikiwa kufkka miaka 5 tu maana yalizuka mambo mengkne ya kifala fala.

Hamna akili
 
Muache halafu ukakae makazi ya watu huko utafute na mume mpya ufurahishe roho yako dada.

Ndugu zanguni hawa ndio wanawake wa siku hizi. Jamii inalea vituko na shida zinakuja kubebwa na watu wengine kabisa.

Sasa mtu anakwambia anapata mahitaji yote ila anachotaka ni kukaa mazingira ya kuzungukana na watu as if huyo mwanaume alitaka kukaa hayo mazingira. Hawa ndio wanawake wa siku hizi. Ukimwambia tuanze maisha chini hataki anataka akukute una gari ya bei, nyumba ya gharama, salio la kutosha benki na mali kadhaa yeye akija avimiliki tu bila aibu.

Inakera sana hii tabia.
 
Huyo ni jinga kweli.
Yaani apangiwe nyumba mjini aache mume shamba huko? Kwani kile kiapo cha ndoa kilisemaje kwenye kipengele cha shida na raha?
Hakuna shida yoyote hapo, huyu ni wale wanawake wanaopenda umbea na kufuatilia maisha ya watu. Huko kijijini ukiwa na TV, internet, chakula, unaishi raha mstarehe kushinda huku mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…