Kcmc 1st roundView attachment 1st-Round-Selected-Applicants-in-various-Programmes.pdfStudents selected to Muhas first roundView attachment 2333266
Mara nyingi MUHAS hawachukui Second round hususani MD maana idadi yao huwa inajitosheleza kwenye awamu ya kwanza.Jamani Muhas mbona hawafungui second round of application au kama kuna mwenye taarifa yao naomba anielekeze.......muda unaenda na deadline imekaribia 😭😭😭
Kwahyoo mkuu unanishauri nifanyeje... matokeo yangu ni Physics B, Chemistry C na biology D...nipo njiapanda..... binafsi napenda sana dental au radiologyMara nyingi MUHAS hawachukui Second round hususani MD maana idadi yao huwa inajitosheleza kwenye awamu ya kwanza.
Huwa wanakuwa na waombaji wengi kulingana na status yao.
Hapo huwezi kupata aiseeDental wapo 55 radiology 25 lakini wengi wana maltiple admissions
nikushauri kwa matokeo hayo jaribu kuangalia hizo kozi vyuo vengine MUHAS watakusumbua tu mwisho wa siku ukose chuo bureeSiyo MD mkuu,ni dental na radiology....hata hivyo wao pia walikuwa na multiple admissions
Kwahyoo mkuu unanishauri nifanyeje... matokeo yangu ni Physics B, Chemistry C na biology D...nipo njiapanda..... binafsi napenda sana dental au radiology
admission capacity ni ndogo mmmnno na wewe una one ya 9, kiukweli huwezi kupata kwa MUHAS competition ni kubwa sanaDental wapo 55 radiology 25 lakini wengi wana maltiple admissions
Daah, tatizo hizo kozi zinatolew Muhas only isipokuwa dental ambayo inatolewa bugandoadmission capacity ni ndogo mmmnno na wewe una one ya 9, kiukweli huwezi kupata kwa MUHAS competition ni kubwa sana
Hata hiyo Bachelor Imaging CUHAS wanatoa.Daa
Daah, tatizo hizo kozi zinatolew Muhas only isipokuwa dental ambayo inatolewa bugando
Hili ni,tatizo jengine, shida ipo kweny ufauli wako kupata vyuo vya public kwa kozi hizo ni ngumu kutokana na ushindani mkubwa kwa sasa ila private unapata bila ya shidaMimi nilikuwa napendelea Muhas kwa sababu financially I'm not stable
Nimeona udsm wameweka dental kwenye hii second round. Nadhani ndio wameanzisha. Kimbilia huko mdogo wangu kabla wengi hawajasanukaDaa
Daah, tatizo hizo kozi zinatolew Muhas only isipokuwa dental ambayo inatolewa bugando
Jamani Muhas mbona hawafungui second round of application au kama kuna mwenye taarifa yao naomba anielekeze.......muda unaenda na deadline imekaribia [emoji24][emoji24][emoji24]
Dental SUZAnikushauri kwa matokeo hayo jaribu kuangalia hizo kozi vyuo vengine MUHAS watakusumbua tu mwisho wa siku ukose chuo buree
Yes UNIVERSTY OF ZANZIBAR wako poa sanaDental SUZA