ππ ELIMU KWA WAFUGAJI β±οΈ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NGURUWE WAKO
---
π Kwa nini muda ni muhimu?
Kupandisha nguruwe jike kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kupata watoto wengi wenye afya.
---
β NGURUWE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA:
1. *Umri
- Umri: miezi 7β8
2. Dalili za joto:
- Kuvimba sehemu za siri na kutoa ute
- Kutulia na kusimama kabisa ukimgusa mgongoni (standing heat)
---
π MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA:
Kupandisha kwa mara ya kwanza: Saa 12β24 baada ya kuonekana "standing heat"
Kupandisha kurudia (second service): Saa 24β36 baada ya dalili kuanza
Hii huongeza nafasi ya mbegu kukutana na yai kwa wakati sahihi.kwa sababu Yani hutokea kwenye saa la 36hrs -40hrs
Kwa hiyo masaa haya ya 24hrs-36hrs huwa unakuwa ni muda mzuri kwa sababu ni karibia na yai kutoka.
---
π Kwa Ushauri na Huduma: Dr. Gilliard β Daktari wa Mifugo
π± 0674740836 | 0792263640
---
Panda kwa wakati β ongeza mafanikio ya uzalishaji!