Muda kutoka Dodoma kwenda Mbeya

me nijuavyo ukitoka saa kumi na mbili mbeya dom unafika saa tisa na nusu hadi saa kumi.....na kutoka dom kwenda mbeya haupiti moro,unaingia mtera,iringa,mafinga,makambako,mwisho mbeya hii hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoka Sa 12 asubihi, unaingia Kuanzia saa 10 na kuendelea .
Nauli niTzs 28,000/= Kimbinyiko na Shabiby
 
Ngoja wataalam waje watujuze na pia nataka kujua kuna short kati DOM to Mbeya au hadi uje Moro ndio uende mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Dom kuna barabara inaitwa Iringa(Iringa road) ambayo inaenda kutokezea Mtera mpk Iringa hivyo kupita Moro utakuwa umeamua tu mwenyewe!! Mabasi yanayotoka Mbeya huwa nayaona yanafika dom saa kumi jioni na nafikiri yatakuwa yanatoka Mbeya saa12 asbh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana naomba anayefahamu muda utakaotumika Kwa isafiri wa bus kutoka Dodoma kwenda mbeya na nauli za mabasi anaweza kushare apa

Sent using Jamii Forums mobile app
dom mpunguzi chipogoro mtera nyang'oro iringa mafinga makambako inyala mby

shabiby
satco
kimbinyiko

muda wa kuondoka ni saa 06:00am na kufika mbeya ni kuanzia 03:30pm

nauli ni tsh28,000/


pi ikiwa utachelewa gari za asubuhi pia waweza subiri

gracious
hajjs
arusha express

hizo za kutoka arusha hupita dodoma to mbeya kuanzia saa 12:30pm


pia zipo za kutoka mwanza ambazo hupita dom saa 04:30pm ambazo ni

BEST LINE na PREMIERE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wataalam waje watujuze na pia nataka kujua kuna short kati DOM to Mbeya au hadi uje Moro ndio uende mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata Jiografia ya darasa la nne imekupita kushoto,unaweza kutoka Dodoma kwenda Mbeya bila kupita Morogoro kwa kupita Iringa ukikatisha bwawa la Mtera.Kumbuka kuna njia Dodoma hadi Iringa kwa hiyo kama ungesoma Jiografia ungejua basi kuwa ukifika Iringa utapata usafiri wa kwenda Mbeya.Someni mupate maarifa
 
Hii imejitisheleza, shukran sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kulikuwa na ulazima gani kuandika hayo mambo ya darasa? Umemaliza kidato cha nne basi unaona kila aulizae jambo mjinga!acha lugha za maudhi......haya niambie kwa jiografia yako nipo Mkalama,Singida nataka kwenda Meatu,Simiyu napitia wapi? Najua ulifundishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya ndugu zetu wa tochi kushika kasi ilikua ukiondoka saa 12 asbh unafika saa 9 hadi 9 na nusu mchana ila kwa sasa ukiwahi sana utafika saa 11 kasoro.
Vilevile mabasi yamefungwa speed governor a.k.a king'amuzi kwahiyo zile vurugu zimeisha.
 
Kabla ya ndugu zetu wa tochi kushika kasi ilikua ukiondoka saa 12 asbh unafika saa 9 hadi 9 na nusu mchana ila kwa sasa ukiwahi sana utafika saa 11 kasoro.
Vilevile mabasi yamefungwa speed governor a.k.a king'amuzi kwahiyo zile vurugu zimeisha.
hayajafungwa speed GOVERNOR bali yamefungwa VEHICLE TRACKING SYSTEM(VTS)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…