Muacheni Ntobi awe Ntobi

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
6,121
Reaction score
6,062
MUACHENI NTOBI AWE NTOBI! 🀣

View: https://x.com/Ntobi_/status/1874401704751296703
Sisi wasukuma, hasahasa wale wanaotoka viunga vya himaya ya Mkuu Ntobi, ni watu tunaopendelea sana utani na ukituvagaa ukidhani umepata tani kubwa sana la kututania, kwamba tutachekwa sana, BASI JIANDAE, maana tani letu linalofuata litakufanya uhame Kijiji!

Nilifungua Tweet hiyo hapo juu aliyoposti Ntobi na nikakutana na comments za wadau wengine wakilalamika na kulialia eti ntobi kawafananisha na mbwa, mara wengine wakimtishia Ntobi eti ajiandae Lissu akishinda, mara wengine wanafoka ati "NTOBI WE JINGA SANA!" nk!

Sisi kwetu, ukianzisha utani, kukuita 'SHIDEVE'(MBWEHA) ni kwa kufikia tu!

Acheni Majembe yajinoe

Ukilumba jiandae kulumbwa

C.c: Erythrocyte
 
CCM Kiongozi asiyejiheshimu hawawezi kumlea Kabisa anatupwa kule πŸ˜ƒ

Kigwangalla kamtukama Mo kaambiwa Ubunge Mwisho mwaka huu 🐼
... mbona amewekeza sana Nzega?
Lakini wanasiasa wabobevu huwa wanaangalia vilevile wana'deal' na mtu wa wapi, maana sisi wengine matani na vitusi vidogovidogo ni kama 'gestures of friendship'! Yaani kule kwetu ukiambiwa uchague jina la ngoma, au a.k.a, unachagua jina linalokutania wewe mwenyewe au hata kujitukanisha, mfano 'YA BUHONGO'(MWENYE MAPENGO)!
🀣
 
Lissu yuko sahihi mbona Chadema kila siku wanalilia tume huru ya uchaguzi, hata yeye anayo haki ya kutoa maoni kama anaona kuna mazingira ya haki kuto kutendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…