Ukiwa na third eye utaona huwa wanakuwa na alama kwenye paji la uso.....
Lakini kama n mwenzangu na mm, mfatilie kwenye maongez yake,,, kwasabb mtoto anayefundishwa uchawi huwa anapitia changamoto ya kutotunza siri mpk hapo atapokomaa....... Kwahy kile kipindi wakiwa wanamzoesha kumchukua usiku na kumrudisha, yeye atakuwa anatoboa siri kwa wenzake
Mfano: 1. atasema flani huwa ananichukua usiku
2. Jana tulikula nyama
3. Tulicheza ngoma n.k