Mtoto PAULINA DICKSON:Msichana,Umri miaka 10 darasa la 4 Alipotea Jumatatu Julai 9 Igombe Mwanza.
Aliondoka asubuhi kwenda shuleni Shule ya Msingi IGOMBE lakini hakwenda.Alibeba nguo za nyumbani alipofika njiani alibadili yunifomu na kuvaa za nyumbani.
Mara ya mwisho alionekana stand ya mabasi Igombe-Mwanza.