Kwa mambo mengine huwa ni kiumbe dhaifu na chenye huruma ila wengi kwa watoto wa kambo huwa na roho ngumu, ila kidogo mambo yanapungua wamebaki makauzu kama huyo kutokana na wanaume kuwa wawazi tangu mwanzo maana zamani baba zetu ilikuwa unashangaa anakuja kamanda na ndevu zimeanza kumtoka unaambiwa ndugu yako na mama alikuwa hajuiKuna baadhi ya wanawake wanaroho kaa za ngozi ya mamba.