Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
Joseph kuishi kwingi ni kuona mengi na kuyapitia mengi na kuyashinda yote katika yeye atutiaye nguvuPole sana Bujibuji,mambo haya huwa yanatokea
Nyakwec's Bro afadhali ningezimia mia, nilizimia roho, na hadi leo sijui nitumie lugha gani kunyoosha maelezo
Nyakwec's Bro, naomba nikung'ate sikio..... hizi ni stori tu za hapa kijiweni JF, tunasukuma muda ili saa kumi na moja ifike.Mkuu hapo ulishikwa pabaya yaani hata mm kichwa kinauma kudhibitisha kwamba ushahidi alionao alitafsiri tofauti,siyo
mchezo!..
Nyakwec's Bro, naomba nikung'ate sikio..... hizi ni stori tu za hapa kijiweni JF, tunasukuma muda ili saa kumi na moja ifike.
Tutakutana mwisho wa mwezi kwenye kaunta ya Kebb's Hotel. please dont miss
hizi story mbona kama za nyanchabakenya kule maraNIMEIONA MAHALI HII....ISOME NA WEWE USIJALI KAMA NI NDEFU SANA....
Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka minne hivi, na hivyo tukawa tumeamua kuoana. Kulikuwa na jambo moja dogo tulililokuwa likinisumbua sana; mdogo wake wa kike ambae alikuwa mzuri sana.
Huyo binti (shemeji yangu) alikuw...a na umri wa miaka ishirinina moja hivi,muda wote alipendelea kuvaa sketi fupi sanana fulana nyepesi au brauzi zinazoonesha mwili wake na jinsi kifua chake kilivyo alikuwa hahitaji kuvaa sidiria. Pamoja na binti huyu kuwa mwembamba kiasi, alikuwa na umbo la ajabu. Kiuno chake kiliumbwa mithiri ya nyingu weusi.... Tatizo ni kwamba mara nyingi binti alipokuwa akiniona alikuwa na tabia ya kujipitisha pitisha na kuinama mbele yangu ili kunionesha mtaji wake. Kusema kweli nilikuwa navutiwa sana na uzuri wake, lakini nilikuwa namuheshimu sana mchumba wangu.
Na pia nilijua alikuwa ananifanyia makusudi maana alikuwa hafanyi hivyo kukiwa na watu wengine...bila shaka alikuwaananitaka. Siku moja binti huyo alinipigia simu niende nyumbani kwake nikaangalie kadi za mialiko ya arusi alizokuwa amechapisha.
Nilipofika (wakati naingia ndani) akaninong'oneza kuwa ananitamani sana na kamwe hawezi kujizuia. Akaendelea kunieleza kuwa anahitaji tufanye mapenzi kabla sijafunga ndoa nadada yake ili nisijisikie vibaya kwamba natoka nje ya ndoa....Nilipigwa na bumbuazi na hasa kutokana na nguo za nusu uchi alizokuwa amevaa.
Kabla sijamwambia lolote akaniwahi "Mi natangulia juu (ghorofani) kwenye chumba changu, kama unahitaji nikupe kitu kitamu njooharaka kabla mashetani yangu hayajapoa... "akageuka na kukimbilia chumbani kwake Haraka nikageuka na kuelekea mlango mkubwa wa kutoka nje.
Nikafungua na kutoka kuelekea kwenye gari yangu. Loh! kwa mshangao mkubwa nikaona pale nje familia yote imekusanyika na waliponiona nikitoka wakanipigia makofi na vigelegele kwa furaha. Huku machozi yakimtoka kwa furaha, baba mkwe akaniambia"Tume furahi sana kwamba umeshinda mtihani mdogo wa uaminifu ulioandaliwana familia. Tuna hakika wewe ndie mwanaume pekee unaefaa kumuoa binti yetu... karibu katika familia....
Kitu cha maana nilichojifunza siku hiyo, ni umuhimu wa kuweka condom ndani ya gari badala ya kutembea nazo mfukoni....
Mkuu ww huwa unatembea nazo mfukoni?..
kwa mtihani huo hata kondom hukumbuki.....ukizingatia mtoto kiuno mithili ya dondola!
Nakuhakikishia huyo utamgonga tu huko siku za mbele.....NIMEIONA MAHALI HII....ISOME NA WEWE USIJALI KAMA NI NDEFU SANA....
Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka minne hivi, na hivyo tukawa tumeamua kuoana. Kulikuwa na jambo moja dogo tulililokuwa likinisumbua sana; mdogo wake wa kike ambae alikuwa mzuri sana.
Huyo binti (shemeji yangu) alikuw...a na umri wa miaka ishirinina moja hivi,muda wote alipendelea kuvaa sketi fupi sanana fulana nyepesi au brauzi zinazoonesha mwili wake na jinsi kifua chake kilivyo alikuwa hahitaji kuvaa sidiria. Pamoja na binti huyu kuwa mwembamba kiasi, alikuwa na umbo la ajabu. Kiuno chake kiliumbwa mithiri ya nyingu weusi.... Tatizo ni kwamba mara nyingi binti alipokuwa akiniona alikuwa na tabia ya kujipitisha pitisha na kuinama mbele yangu ili kunionesha mtaji wake. Kusema kweli nilikuwa navutiwa sana na uzuri wake, lakini nilikuwa namuheshimu sana mchumba wangu.
Na pia nilijua alikuwa ananifanyia makusudi maana alikuwa hafanyi hivyo kukiwa na watu wengine...bila shaka alikuwaananitaka. Siku moja binti huyo alinipigia simu niende nyumbani kwake nikaangalie kadi za mialiko ya arusi alizokuwa amechapisha.
Nilipofika (wakati naingia ndani) akaninong'oneza kuwa ananitamani sana na kamwe hawezi kujizuia. Akaendelea kunieleza kuwa anahitaji tufanye mapenzi kabla sijafunga ndoa nadada yake ili nisijisikie vibaya kwamba natoka nje ya ndoa....Nilipigwa na bumbuazi na hasa kutokana na nguo za nusu uchi alizokuwa amevaa.
Kabla sijamwambia lolote akaniwahi "Mi natangulia juu (ghorofani) kwenye chumba changu, kama unahitaji nikupe kitu kitamu njooharaka kabla mashetani yangu hayajapoa... "akageuka na kukimbilia chumbani kwake Haraka nikageuka na kuelekea mlango mkubwa wa kutoka nje.
Nikafungua na kutoka kuelekea kwenye gari yangu. Loh! kwa mshangao mkubwa nikaona pale nje familia yote imekusanyika na waliponiona nikitoka wakanipigia makofi na vigelegele kwa furaha. Huku machozi yakimtoka kwa furaha, baba mkwe akaniambia"Tume furahi sana kwamba umeshinda mtihani mdogo wa uaminifu ulioandaliwana familia. Tuna hakika wewe ndie mwanaume pekee unaefaa kumuoa binti yetu... karibu katika familia....
Kitu cha maana nilichojifunza siku hiyo, ni umuhimu wa kuweka condom ndani ya gari badala ya kutembea nazo mfukoni....
Acha ku-copy na ku-paste. this is not your story.