Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Najua mzigo unalipia, but analipa wakati wa kushuka au wakupanda? na konda ndo anajua mzigo.?Mzigo wako ulikuwa na uzito gani?
Kuna kiwango cha uzito lazima ulipie. Kama ni begi tu la kawaida hulipii. Sasa wewe una mabegi sita na vipeto vinne kwanini usipande Fuso tu.
Vyovyote vile lazima ulipie iwe wakati wa kupanda au kushuka.Najua mzigo unalipia, but analipa wakati wa kushuka au wakupanda? na konda ndo anajua mzigo.?
Km ni hivyo usilalamike ni utaratibu wa kawaida Mbona.Iwe kabla au wakati wa kushuka.Kilichokukera ni kipi hapo?.Najua mzigo unalipia, but analipa wakati wa kushuka au wakupanda? na konda ndo anajua mzigo.?
Tusimlaumu konda kumbe jamaa alikuwa na vipeto kama nane hivi, bila kusahau tenga la kuku wa kienyeji kkkkKama una suitcase yako moja na bergi la laptop sidhani Kama utachajiwa mizigo.
Kama una viroba vya maharage, shangazi kaja tatu, mabegi sita Kama vile unahama tegemea kulipia mzigo kwani Ile boot sio kwa ajili yako peke yako.
By the way Kuna watoa huduma ya kudafirisha mizigo toka TANGA kwenda Arusha. Tumia huduma yao. Mabasi Ni magari ya abiria
Mhhhh! Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yako ya kusafiri na mabasi!! Wakati wote huo ulikuwa unatumia usafiri gani?Habari,
Jana nimepata bad exeprience na basi la MTEI (T305 DTS) kutoka tanga to Arusha, ni mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yangu yakusafiri na mabasi.
Huyu abiria ni mkorofiii. Nimemuuliza mizigo yako ilikuwa na uzito gani hasemi. Huyu atakuwa alikuwa na vipeto vimejaa nusu ya buti.me mpaka saivi sielewi malalamiko yako
Au usafiri wa asili, ungo wa bibi.Mhhhh! Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yako ya kusafiri na mabasi!! Wakati wote huo ulikuwa unatumia usafiri gani?
Malori, private, baiskeli, treni, meli/boti/mashua au ndege? Hata siamini aisee!
Nimesikitika saaaana kwamba hadi leo Mabasi ya Mtei yapo.Nimesikitika sana baada ya kugundua Kuna watu hadi leo hii mnapanda mtei
At least you get the point.Mzigo wowote kwenye basi unalipiwa wakati wa kupanda na unapewa risiti yako ukiona mpk mzigo unapakiwa kwenye buti na hujachajiwa pesa ujue ni bure hupaswi kulipa.
Naww naye Unapanda mtei wakati Raqueeb mabasi mazuri Tanga to ArushaHabari,
Jana nimepata bad exeprience na basi la MTEI (T305 DTS) kutoka tanga to Arusha, ni mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yangu yakusafiri na mabasi.
Wakati wakushuka konda anaomba hela ya kulipisha mzigo. Sijui jinsi ya kuweza kutatua hili tatizo, nimejaribu kuwapigia simu yao wanajibu sawa sawa tutaongea naye.. nimekuwa very dispointed sana.
Ni lini na sisi tutakuwa na utaribu ambao unaeleka kwenye Public service zetu na kuwa na sehemu ambayo unaweza toa malamiko yako unasikilizwa hata. sizani kama tunataji miujiza kwenye mabadiliko ni sisi wenyewe kuwa na commited na kujifunza kutoka kwenye makosa.
Huduma zetu za public zinazo tolewa lazima ziwe zina mahali tunapima kama zinalingana na ghrama zake.
Najua linaweza kuwa jambo dogo kutoa hela tu but kuwe na standard lazima tuwe nayo.
Asante.
Kuna uzito kama sijakosea kilo 20 hutakiwi kutozwa fedha, ikizidi kilo moja ndiyo hiyo inatakiwa kutozwaNi lini na sisi tutakuwa na utaribu ambao unaeleka kwenye Public service zetu na kuwa na sehemu ambayo unaweza toa malamiko yako unasikilizwa hata. sizani kama tunataji miujiza kwenye mabadiliko ni sisi wenyewe kuwa na commited na kujifunza kutoka kwenye makosa.
Huduma zetu za public zinazo tolewa lazima ziwe zina mahali tunapima kama zinalingana na ghrama zake.
Nimechukua,amekupa stakabadhi ya malipo halali kama haujapata kakupiga