huyo bado hajafeli kama personally haja admit his own failue., wanasema hata Roma haikujengwa ndani ya siku moja, unaemdharau leo, utamsalimia kwa heshima. it takes time to build a fortune. Presha wanayokupa watu waotamani kuona umefanikiwa ndio mara nyingi inayowakatisha tamaa vijana wengi. badili fikra ndugu, badala ya kumcheka mpe moyo kuzifuata ndoto zake no matter hw and what it takes., sio lazma afate interest ya majority.