Ukawa lazima wafanye maamuzi kwa wakati kuhusu jimbo la segerea, sisi wananchi wa jimbo la segerea ambao sio wanachama wa vyama vya siasa tungependa mwakilishi wa ukawa awe Julius Mtatiro. Tunaomba sana, yule binti wa chadema awekwe kando.

Hili pia liligusiwa kiongozi, alikuwepo mratibu wa chadema kanda ya Pwani kwenye mkutano akaahidi kulipatia ufumbuzi mapema iwezekanavyo. Hivyo tuvute Subira.