Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,441
- 1,937
Hiyo hata siyo lipuli ya uingereza hiyo niMiaka tisa bado anachezea "Lipuli" za Uingereza!!!! Miaka yake ni 25!!!!Atajiongeza lini? Hana jipya huyo.
Vipi kama hiyo timu yake ikija kukipiga na Simba au Yanga za TZ ipi itaonekana ni kauzu Fc ya Dunia?Hiyo hata siyo lipuli ya uingereza hiyo ni
Kauzu fc ya uingereza.
Ligi daraja la 4!!
Ile itakayofungwa na kuonyesha soka lisilo na muelekeo "Poor performance" ndio itaonekana kauzu,hatuwezi kusema eti Simba au Yanga ndio zitaonekana kauzu kisa tu zinacheza na team ya Uingereza!!Vipi kama hiyo timu yake ikija kukupiga na Simba au Yanga za TZ ipi itaonekana ni kauzu Fc ya Dunia?
Haina shida mkuuIle itakayofungwa na kuonyesha soka lisilo na muelekeo "Poor performance" ndio itaonekana kauzu,hatuwezi kusema eti Simba au Yanga ndio zitaonekana kauzu kisa tu zinacheza na team ya Uingereza!!
Sikumbuki ni lini nilisikia mchezaji wa daraja la nne Ulaya anachezea timu yoyote ya taifa
Hata Simba na Yanga ztakataa kucheza na timu kama hiyo.Vipi kama hiyo timu yake ikija kukipiga na Simba au Yanga za TZ ipi itaonekana ni kauzu Fc ya Dunia?
Hahah!! Kama walivyokataa kucheza na Mamelodi Sundown fc ya SouthHata Simba na Yanga ztakataa kucheza na timu kama hiyo.
Timu gano kwanza inaitwa kisulisuli fc na iko ulaya
We timu ganiHata Simba na Yanga ztakataa kucheza na timu kama hiyo.
Timu gano kwanza inaitwa kisulisuli fc na iko ulaya