Nawe unalalamika hiyo nusu buku na unakuja kutujazia server bure huku,wenzako tunawaza Tozo na umeme wewe unatukimbiza na hiyo mia tano.Walichokifanya hawa watu jaman[emoji24][emoji24]
Nimeweka salio la 500 nijiunge MB wakasema siwezi unganishwa, kuuliza salio naambiwa una 481 Tsh. Hapo sijampigia mtu, sijawasha data. Sasa hiyo kazi ya kusafiri maili mia kufuata vocha zao niitoe wapi
Nimejaribu Bufee, eti MB za 480 Tsh ni 175, halafu MB zenyewe ni zile za kubabaisha ambazo ukiamka kesho asubuhi unakuta zishakwisha hata kama hukutumia hata kidogo[emoji35][emoji35]
Kwa sasa, ile bufee tuliokuwa tunapata MB 400 kwa 500Tsh, kwa sasa ni 200MB. Halafu kasi yake ni 2G, Picha linaanza inatumia dk nzima kufungua app ya JamiiForums. Kwa kuwa wameanza kututoza tozo hadi kwenye mtandao wao, kuanzia kesho nikitumia TTCL, naombwa nilimwe ban[emoji24][emoji24][emoji24]
Mtandao wa ovyo sana TTCL Customer Care ,bora nibaki na mtandao mmoja tu wa vodacom
Mods, acheni huu uzi uelee elee ili wayaone madhaifu yangu kwa urahisi, msiuunge kuleView attachment 2355964View attachment 2355965
Kimfaacho mtu chakeNawe unalalamika hiyo nusu buku na unakuja kutujazia server bure huku,wenzako tunawaza Tozo na umeme wewe unatukimbiza na hiyo mia tano.
Tigo pia mamaamina zao tu, unajiunga kifurushi kwa matumizi yako ila wanakulazimisha sehemu itumike kusikiliza mziki 'boomplay'….. mamamaee zao!Ila kama uchumi sio Tatizo, mitandao ni Voda Tigo na Airtel.
Huku Halotel TTCL sijui nn hamna kitu. Janja janja tu.
Hata mimi halotel walikata pesa yangu bila ya kujiunga kitu chochote wakati sija toa ruhusa ya kukatwa bila ya kujiungaMimi Halotel waliowahi kunifanyia hivyo.
Sasa sibora kutumia vpn .....unatumia bure bila ya bando lolote kama mm natumia halotel bila ya mb na nipo JFImetumia dakika moja just kufungua app ya JamiiForumsView attachment 2355967
Waarabu wanafanya ujuma kwenye hiyo kampuni wakishirikiana na viongozi wa ttcl na ccm lengo likiwa ni kuingia kwenye mikataba ya kifisadi kwa kisingizio kuwa ttcl ni mzingoBufee mwanzo walikuwa wanatoa GB 10 kwa 7k..
Eti leo hii hizo 10GB wamepandisha mpaka 25k[emoji23][emoji23][emoji23].... Hiki si kituko?
View attachment 2355981