youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Duh sherehe inaanza Leo?
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Simba Sports Club na Coastal Union ya jijini Tanga utakaofanyika hapo kesho umekuwa ni mchezo unaosubiriwa kwa hamu hasa kwa upande wa Simba,
ukizingatia kwamba mahasimu wao Dar_es Salaam Young Africa Sc Juzi Walifanya vizuri, hivyo hawana budi kukaza buti ili kuepukana na makelele ya mahasimu wao endapo watafungwa.
Simba ipo katika harakati za kujinasua dhidi ya kushuka daraja kwa kupoteza mwelekeo kwenye mzunguko wa kwanza, wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu nzuri ya mchezo uliopita baada ya kujinyakulia pointi 3 muhimu kutoka kwa Ruvu Shooting,
Aidha katika mechi ya juzi ya watani wao Yanga waliibuka na ushindi wa bao moja kwa mtungi dhidi ya hao Coastal Union goli lililofungwa na beki mahiri Nadri Haroub Al Maarufu (Canavaro) katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Hivyo Coastal Union hawatokuwa tayari kupoteza mechi mbili mfululizo nyumbani kwake.
Acha Dharau Wewe Eti Simba Ipo Ktk Harakati Za Kujinasua Kushuka Daraja. Nani Kakuambia? Hivi Wewe Unajua Mpira Kweli? Hebu Nipe Tofauti Ya Points Kati Ya Anayeongoza Ligi Na Nafasi Iliyopo Simba. Mkiwa Mmekunywa Viroba Vyenu Na Kushindiliwa Mitalimbo Kunako Tigo Msiwe Mnakurupuka Namna Hii. Huyo Baba Yako Mwenyewe Rais Malinzi Kwenda Kwake MSALANI a.k.a Chooni ( Kutoa Haja Big ) Kunaitegemea Simba Sports Club. Simba Ikishuka Daraja Na Tanzania Nayo Inapotea ktk Ramani Ya Dunia.
Hasumbui yule, mtoto wa Cmba.
Naona jinsi Mikia inavyopakatwa Leo.
Simba haikubaliki Dar....ugenini ndio balaa jingine
mi ntakuwa mkwakwani kuangalia mkia ukishikwashikwa
Mwana SIMBA mwenzangu umetumia maneno mazito sana.........Acha Dharau Wewe Eti Simba Ipo Ktk Harakati Za Kujinasua Kushuka Daraja. Nani Kakuambia? Hivi Wewe Unajua Mpira Kweli? Hebu Nipe Tofauti Ya Points Kati Ya Anayeongoza Ligi Na Nafasi Iliyopo Simba. Mkiwa Mmekunywa Viroba Vyenu Na Kushindiliwa Mitalimbo Kunako Tigo Msiwe Mnakurupuka Namna Hii. Huyo Baba Yako Mwenyewe Rais Malinzi Kwenda Kwake MSALANI a.k.a Chooni ( Kutoa Haja Big ) Kunaitegemea Simba Sports Club. Simba Ikishuka Daraja Na Tanzania Nayo Inapotea ktk Ramani Ya Dunia.
Ndala kubahatisha kigori kimoja ndo kafanya vizuri mpaka unashangaa.
Ama kweli wewe ndo wale mnaoona kichuguu mnashangaa.. Ngoja kesho tukuoneshe mlima ili uzimie kabisa.
Mwana SIMBA mwenzangu umetumia maneno mazito sana.........
Ahsante kwa kuanzisha uzi siku moja kabla ya mchezo kwani mikia ilianzisha uzi siku moja kabla ya mchezo kati ya COASTAL UNION vs YANGA huku yakitumia maneno ya dharau.
halafu fanya editing mkuu iwe MIKIA na simba kama ulivyoweka.