watu wa lumumba b7 wanakesha kuona cdm inakufa hizo ni ndoto.mnatengeneza stor nyingi lakini ukweli ni kwamba conflict inayoendelea cdm ni fake conflict.maccm hata hayaelewi yanakurupuka tu hii ni fake eviction zito hatoki cdm kamwe najua mnasubili sana saa tano atasema nini.chadema ni moto mwingine mnacheza wimbo msioujua maccm
cc@ ritz,pasco na wanalumumba wote
Mimi napendekeza Zitto afukuzwe kabisa Uanachama ili ajiunge na Kafulila pamoja na A.Rashid kwenye Ubunge wa Mahakama ili Chama kitulie kama NCCR na CUF baaday kuwatimua Wasaliti.
Hata hueleweki unataka kusema nini?
Barua aliyopewa zito ina muda wa siku kumi na nne atoe sababu kwanini asifukuzwe uanachama, Hapo ndipo tunaweza kusema haondoki, Lakini kwa vile yeye anadhani ana nguvi za kisiasa hatatoa maelezo, Kitu ambacho kitaipa kamati kuu, Rungu la mwisho kwa zitto kuwa Mwanachama,
Mkuu wakati mwingine ushabiki wa kijinga hautakusaidia kama huna facts. Ni upuuzi kusema akina Mbowe walijitengenezea waraka, wakati wahusika wenyewe walikiri mbele ya kamati kuu na kuomba wakubaliwe kujiuzulu.Akina Mbowe wameogopa kuitisha Uchaguzi wa Ndani wa Chama kwa hofu ya Zitto kumbwaga Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti ndio maana wamejitengenezea waraka wakauita eti umetoka kwa Zitto bila ya kueleza huo Waraka Akina Zitto walikuwa wanamuandikia nani? Chadema Kaskazini itakuwa na Nguvu ya kukabiliana na Chadema Magharibi?