HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
Ushahidi ninao nina risti nitapeleka wapi wakati wametoa Namba isiyopatikana kama wapo hapa wajitokeze watoe Namba sahihi au waseme ofisi zao ziko wapiKama una ushahidi na uhakika pia peleka kwa wahusika washughulikiwe haraka ipasavyo
Ila kama una mpango wa kuwaharibia jina haitapendeza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kampuni ya udalali ijulikanayo kama MSUYA AUCTION MART acheni kutapeli watu na bidhaa zenu mbovu mmefanya utapeli wiki iliyopita Namba mnzotoa kwa wateja wenu nazo feki listi mnasumbua kutoa sasa ninasema utaratibu unafanyika ili mfikishwe mahakamani ifike Mahali TRA muangazie hizi kampuni za udalali wawe na machine za TFD kwajili ya risti .
TIN:105-824-475
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua maana usajili inaonyesha MoshiNi ya Msuya huyu huyu Former Premier au?
Ushahidi ninao nina risti nitapeleka wapi wakati wametoa Namba isiyopatikana kama wapo hapa wajitokeze watoe Namba sahihi au waseme ofisi zao ziko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Walichonifanyia hawa jamaa niuhuni Wa kiwango cha PHDMamlaka husika anza na TRA watakueleza zaidi wapi ufike
Usangiπππππ
Ndio wapi Mkuu unajua milioni mbili inaniumaUsangiπππππ
Mashine za Tfd ndo nini?Kampuni ya udalali ijulikanayo kama MSUYA AUCTION MART acheni kutapeli watu na bidhaa zenu mbovu mmefanya utapeli wiki iliyopita Namba mnzotoa kwa wateja wenu nazo feki listi mnasumbua kutoa sasa ninasema utaratibu unafanyika ili mfikishwe mahakamani ifike Mahali TRA muangazie hizi kampuni za udalali wawe na machine za TFD kwajili ya risti .
TIN:105-824-475
Sent using Jamii Forums mobile app