Mm nakumbuka mwaka jana nilikosa round ya kwanza nikakata tamaa lkn round ya pili nikapata, kuna rafki zangu walikosa bado baadae wakaja kupata vyuo hvyo nawasihi wadau msiwaze sana ila muwe mnafuatilia kwa karibu taarifa zinazotolewa na vyuo mlivyoomba pamoja na tcu, kuna mdau wangu mmoja hvo hvo alkuwa afuatilii kitu chochote baadae akaja kujikuta kuna ishu anatakiwa arekebishe lkn kashachelewa, nadhan atajarib tena mwaka huu hvo m nawasihi msiogope sema tuu baadhi ya waliokosa ni kutokana na kuchagua vyuo kwa title na fani zenye competition kubwa ilhal ufaulu ni wa kawaida sana, lkn msisahau kusali shetani asipite na mtu