Msimamo wa Mtaka wawakuna CCM,CHADEMA

Hivi huwezi kutetea hoja yako bila kushambulia issue za mtu binafsi.

Hongera Kwa Kuwa wa kwanza shuleni kazana hivo hivo uwe wa kwanza kwenye kila kitu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anapofanya vizuri kwenye Jambo fulani afaa kupongezwa. Kwa hili acha na Mimi nimpongeze
 
Wakuu jamii ya mtaka ukifanya naye kazi utapiga kazi kwa furaha na juhudi zote.
Hata kitone cha ujuzi hubakizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…