Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike.
Vigezo
Umri kuanzia miaka 20 mpaka 35
Awe anajua kusuka, kueka dawa, kuset, kufanya facial.
Awe anaishi maeneo ya karibu na Tandika (sio zaidi ya daladala moja toka alinapoishi mpaka Tandika).
Muaminifu na mwenye kujituma.
Akijua kutengeneza kucha na kupaka rangi itakua nyongeza ya faida.
Uzoefu usiopungua mwaka mmoja kwenye masuala ya saluni.
Malipo Malipo mazuri kwa mujibu wa makubaliano.
Jinsi ya kuomba kazi Mwenye vigezo nlivotaja hapo juu awasiliane kwa kutuma email jina lake, mahali anapoishi na namba yake ya simu kwenda sudasaloon@gmail.com au ni-pm kutumia account ya jamii forum