AseeUkonga kwa wakurya.
Umeshampata? Kuna mdada ananisumbua kweli nimtafutie kazi yoyote,nione kama utampa kazi!Anahitajika msichana wa kazi..kuhudumia familia ya watu wa tatu.baba.mama mtoto.kuishi kwa tajiri.kazi kupika.kufua na kulinda nyumba.mshahara shilingi 50.000.bima ya.afya na mahitaji ya msingi ni juu ya mwajiri.likizo kila mwisho wa mwezi na kila jumapili mchana.piga 0653 141189.mahali ni ukonga
Vipi wakurya hawana haki ya kuajiri?Ukonga kwa wakurya.
Angalia PM mkuuNipe MAWASILIANO yako mkuu
Naomba tuwasiliane mkuuSiku hizi kuna changamoto ya human trafficking, ningekusaidia kukuunganisha na dogo mmoja hivi yupo Singida. Ila ndo siwezi
Kuna Mama anahitaji Binti wa kazi ila yupo Moshi, muulize kama anaweza kwenda huko nikuunganisheUmeshampata? Kuna mdada ananisumbua kweli nimtafutie kazi yoyote,nione kama utampa kazi!
Ni Machame. Mshahara ni 60,000/=Mshahara analipaje mkuu, na hapo Moshi mjini au ni nje ya mji