Kuna thread imo humu niliandika kuhusu hiliNdugu zangu kifo uleta uzuni sana kwa ndugu..machungu upungua pale Maiti inapozikwa.,kwa waliofiwa wanaelewa.
Sasa shida zinaanza km maiti kucheleweshwa kuzikwa.
1.Wakusanyaji wa michango wanakuwa wengi namba za kutuma michango uongezeka kiasi kwamba wengine wanakula wao kwa manufaa yao.
2.Maiti uleta gharama kwa wafiwa ,kwenye msiba kuna wageni wanahitaji kula gharama uwa kubwa sana.
3.uzuni uwa kubwa sana kwa waliowahi kufiwa na MTU wa karibu wanaelewa.
Lengu kuu tuzikane mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafika hatua tunanuniana eti fulani hajatoa mchango wa kusafirishia maiti ujinga huo nilishawaambia mtu akifa popote pale anazikwa Ardhi ni Ardhi tu mambo ya kuthaminiana tukiwa tumekufa huo ni unafiki kwangu mimi niko radhi kuingia deni kugharamikia matibabu ila siyo msiba eti watu waje wale vizuri nani kasema msibani ni kwenda kula
Si ndoo hpoInafika hatua tunanuniana eti fulani hajatoa mchango wa kusafirishia maiti ujinga huo nilishawaambia mtu akifa popote pale anazikwa Ardhi ni Ardhi tu mambo ya kuthaminiana tukiwa tumekufa huo ni unafiki kwangu mimi niko radhi kuingia deni kugharamikia matibabu ila siyo msiba eti watu waje wale vizuri nani kasema msibani ni kwenda kula
Mimi huwa nawaambia hiyo bajeti mnaenda kufanyia nini wanabaki mzee wewe naye kila kitu kupinga tu jibu ni kuwa nyinyi wakati mwenzetu anaumwa hatukuisoma ila kwenye michango mnakuwa mstari wa mbeleSi ndoo hpo
Ndomana siku hzi watu wanaenda kuzika makaburini kukwepa daftari la mchango
Maana ni kma usumbufu.....
Utaskiaa kwenye kikao cha kamati bajett mln 6 au 7 Inatakiwa.....hpo sasa Watu kama sisi hutuoni nyumbani zaidi ya kwenda kuzika makaburini tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app