Msiba ukikaa mda mrefu bila kuzikwa uleta fitna na ubadhirifu wa pesa.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Ndugu zangu kifo uleta uzuni sana kwa ndugu..machungu upungua pale Maiti inapozikwa.,kwa waliofiwa wanaelewa.

Sasa shida zinaanza km maiti kucheleweshwa kuzikwa.
1.Wakusanyaji wa michango wanakuwa wengi namba za kutuma michango uongezeka kiasi kwamba wengine wanakula wao kwa manufaa yao.

2.Maiti uleta gharama kwa wafiwa ,kwenye msiba kuna wageni wanahitaji kula gharama uwa kubwa sana.

3.uzuni uwa kubwa sana kwa waliowahi kufiwa na MTU wa karibu wanaelewa.

Lengu kuu tuzikane mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna thread imo humu niliandika kuhusu hili
 
Kwa wengine misiba ni dili

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Inafika hatua tunanuniana eti fulani hajatoa mchango wa kusafirishia maiti ujinga huo nilishawaambia mtu akifa popote pale anazikwa Ardhi ni Ardhi tu mambo ya kuthaminiana tukiwa tumekufa huo ni unafiki kwangu mimi niko radhi kuingia deni kugharamikia matibabu ila siyo msiba eti watu waje wale vizuri nani kasema msibani ni kwenda kula
 
Mkurupuko wa kuzikana mapema un madhara yake pia

1. Mnaweza zika mtu hai

2. Mnaua ushahidi(hasa kama aliuliwa au kuna viashiria vya mauaji)

3. Haraka haraka haina baraka

4. Familia ndio inayoamua so mtu baki kiherehere cha nini wakati gharama wanatoa wao

5. Wosia wa marehemu kuhitaji kuzikiwa mbali na alipofia usipofuatwa
lawama na kadhalika vitaisumbua familoa husika
 
Inafika hatua tunanuniana eti fulani hajatoa mchango wa kusafirishia maiti ujinga huo nilishawaambia mtu akifa popote pale anazikwa Ardhi ni Ardhi tu mambo ya kuthaminiana tukiwa tumekufa huo ni unafiki kwangu mimi niko radhi kuingia deni kugharamikia matibabu ila siyo msiba eti watu waje wale vizuri nani kasema msibani ni kwenda kula
Si ndoo hpo
Ndomana siku hzi watu wanaenda kuzika makaburini kukwepa daftari la mchango
Maana ni kma usumbufu.....
Utaskiaa kwenye kikao cha kamati bajett mln 6 au 7 Inatakiwa.....hpo sasa Watu kama sisi hutuoni nyumbani zaidi ya kwenda kuzika makaburini tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndoo hpo
Ndomana siku hzi watu wanaenda kuzika makaburini kukwepa daftari la mchango
Maana ni kma usumbufu.....
Utaskiaa kwenye kikao cha kamati bajett mln 6 au 7 Inatakiwa.....hpo sasa Watu kama sisi hutuoni nyumbani zaidi ya kwenda kuzika makaburini tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nawaambia hiyo bajeti mnaenda kufanyia nini wanabaki mzee wewe naye kila kitu kupinga tu jibu ni kuwa nyinyi wakati mwenzetu anaumwa hatukuisoma ila kwenye michango mnakuwa mstari wa mbele
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom