On the contrary it is poverty, ndio maana bajaji ni chache oysterbay ,upanga, sea view na masaki na pia kule hakuna mishikaki. Jiulize wangepanda daladala ingekuwa shs ngapi kwa wote, wangechukua teksi ingekuwa kiasi giani. It all goes down to umaskini ,kwisha
Apigwe viboko ambaye ni chanzo cha umaskini, sio huyu amabaye ni matokeo ya maskini atafutiwe dawa ya kuwa na kauwezo ka kupandisha watoto wote hao daladala, afundishwe nyota ya kijani etc ili awe na watoto wachahche ambao hawatamgharimu ktumia hela nyingi kwenye matunzo na hata usafiri.