Una umri gan Joomba?
Homa ?
Sasa mwanangu hiyo hali ina muda gan yan lini imekuanza kwa Mara ya kwanza?
Maumiv huanza ghafla au Taratibu? Na unapokua kwa hiyo hali, unapata maumiv pia ya tumbo ? Kuhisi kichefu na kutapika ?.
Pumbu ziko kama zimevutwa kupanda juu??
Huo upande wa pumbu wenye maumiv ,ngozi ina rangi gan? Nakwenye ngozi hiyo ya Pumbu juu kuna kama kauvimbe ( kanundu kana Rangi ya blue)??? ........
Kujisikia kukojoa Mara kwa Mara ? Maumiv kwa kukojoa?uchafu wowote kutoka?.
Unaweza kua na moja kati ya haya
1--LEFT INTERMITTENT TESTICULAR TORSION.
au
2- TESTICULAR APPENDAGE TORSION
( Hii haina madhara kiivo kama ni Yenyewe, ILA TATIZO INAPELEKEAGA KUFICHA HIYO SHIDA NAMBA MOJA, YAAN DAKTARI ANAWEZA HISI NI HII YA 2?? KUMBE NI HIYO YA 1.??.
sasa kama ni hiyo... Jiandae
[emoji117]Kende yenyewe kudhoofu nakupata maambukizi ambapo hatima yake nikuondolewa kende
[emoji117]Kupoteza uwezo wakuzaa
[emoji117]kua inajitokeza Mara kwa mara
[emoji117]N.k n.k
Kama ni ya 2..... Penda kupumzika, kunywa vituliza maumiv kama Panado , Ibuprofen pia unaweza jikanda kwa Barafu, kulala miguu umeinua juu ...
Kama ni ya kwanza, Hii huhitaji Tiba ya upasuaji ili KUOKOA HILO KENDE ... na kwa harakaharaka, unaweza meza vituliza maumivu, ukiendelea na harakati za kufika Hosp .
KWA UFUPI, NA USHAURI WANGU, NENDA HOSPITAL HARAKA, UMUONE DAKTARI.
[emoji117][emoji117] Hapa Dunian hata uwe na mamilion ya Pesa, Kama Hutombi?? Na kama Unatomba ila HUZALISHI ....
Mamaeeee bora Ungekua mwanamke ,WAHUNI wakupumulie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!.
ona serious kabisa NENDA HOSPITAL HARAKA.