F fatuma90 Member Joined May 31, 2018 Posts 6 Reaction score 3 Aug 10, 2018 #1 samahanini jaman, naomba kuuliza mshahara wa PRSS 2 ni shiling ngap?
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,191 Reaction score 73,994 Aug 10, 2018 #2 Milioni 3 Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui
Milioni 3 Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui
F fatuma90 Member Joined May 31, 2018 Posts 6 Reaction score 3 Aug 11, 2018 Thread starter #3 Castr said: Milioni 3 Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui Click to expand... teh teh nilisha anza kuzimia apa
Castr said: Milioni 3 Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui Click to expand... teh teh nilisha anza kuzimia apa
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,049 Aug 11, 2018 #4 Castr said: Milioni 3 Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui Click to expand... Hahahaha
Castr said: Milioni 3 Ukifanya kazi mwaka mmoja mshahara unaongezeka asilimia mbili na marupurupu ya nyumba, usafiri na chakula Nakuzingua usije ukazimia kwa furaha. Mi sijui Click to expand... Hahahaha
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,191 Reaction score 73,994 Aug 11, 2018 #5 fatuma90 said: teh teh nilisha anza kuzimia apa Click to expand... Hata hivyo naamini itakutosha kukuletea chakula mezani. Au kama vipi siku ukipata mshahara njoo utuambie na wengine tujue hiyo code ni mshahara shilingi ngapi.
fatuma90 said: teh teh nilisha anza kuzimia apa Click to expand... Hata hivyo naamini itakutosha kukuletea chakula mezani. Au kama vipi siku ukipata mshahara njoo utuambie na wengine tujue hiyo code ni mshahara shilingi ngapi.
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,180 Reaction score 4,422 Aug 11, 2018 #6 Yaan siku unaweza kuianza kwa furaha na ukaimaliza kwa furaha, au huzuni- furaha au huzuni-huzuni yote hayo humu yapo
Yaan siku unaweza kuianza kwa furaha na ukaimaliza kwa furaha, au huzuni- furaha au huzuni-huzuni yote hayo humu yapo