Alexanda jozee
Member
- Sep 9, 2019
- 17
- 4
Mmmmmh,samahan.mie sijui kuhsu hayo mambo,ila kama hutojali naomba unitumie namba zao.maana nina shida naoo .Wakuu msaada tafadhali..mimi nilichaguliwa saut mwanza mass comunication lakini hiyo ndo ilikuwa choice yangu ya mwisho..cha ajabu nimekuta tayari wamenisellect na kuconfirm..lakini nikitaka kureject haitaki na nikipiga simu saut hawataki kuniachia..hivyo nikaona niwaulize wanaJF msaada wa ushauri..je naweza kusubiri baadae nifanye transfer kwenda IFM nikasome taxation maana ninayo D ya math o-level....msaada wemu wakuu
Saut au?Mmmmmh,samahan.mie sijui kuhsu hayo mambo,ila kama hutojali naomba unitumie namba zao.maana nina shida naoo .
Saut au?
0678039448Saut au?
Ndio SAUTSaut au?
Sante.mkuu0678039448
Wakuu msaada tafadhali..mimi nilichaguliwa saut mwanza mass comunication lakini hiyo ndo ilikuwa choice yangu ya mwisho..cha ajabu nimekuta tayari wamenisellect na kuconfirm..lakini nikitaka kureject haitaki na nikipiga simu saut hawataki kuniachia..hivyo nikaona niwaulize wanaJF msaada wa ushauri..je naweza kusubiri baadae nifanye transfer kwenda IFM nikasome taxation maana ninayo D ya math o-level....msaada wemu wakuu
Niwaigie su siyoWashitaki TCU, wanachokufanyia ni kinyume na utaratibu