Salaam wanabodi,
Nimeletewa simu ya samsung yenye OS ya androind vrs 4.0.4 kutoka huko ughaibuni tatizo nikiweka line na kujaribu kununua LUKU au credit kwa mpesa au tigo pesa inaniambia "connection problem or MMI CODE INVALID".
Ukipiga *150*00# inakuletea hixo namba za kuchagua tatizo next step sasa ndo hapo inaleta hiyo error message.
Msaada wenu unahitajika wadau.