wajameni nina mtoto wa dada yangu ndio kamaliza form 1v sasa na kapata dvs 3 ya point 24. ni mvulana je kuna vyuo gani vizuri anaweza kwenda na kuwa na hakika ya kupata kazi kwa uhakika?

Kwa nini unataka kumpitisha mtoto njia ya mkato kielimu? Muache aendelee kusoma mfumo rasmi aende 5/6 halafu mambo mengine yatajiseti yenyewe huko mbele. Kwa level hiyo choice ya vyuo kwake itakuwa very limited.