Mkuu hapo sheria haijaweka mipaka yoyote!
Moja kwa moja hiyo kesi inaingia ktk Nuisance (indirect interfere).
Logic ya kuachiwa misikiti na makanisa kupiga makelele hata katika makazi ya watu, ni ya kiutawala zaidi! Dini zinawafanya watu wawe wastaarabu, wasifanye uhalifu, etc. Si unajua tena dini! Usiibe, usiue, heshimu viongozi etc. au utakwenda motoni! Kuna interest zao hapo!