msaada

denis didas joseph

New Member
Joined
Sep 28, 2019
Posts
1
Reaction score
0
naomba kupewa vigezo vya kujiunga na diploma ya ualimu kwa waliomaliza form six mwaka 2014. maana mimi nina iv pia nina C ya chemistry, nina alama D ya physics na nina alama D ya mathematics naomba mnisaidie kwa matokeo haya
 
Mkuu naona umechelewa sana mpaka wenye milango yao wanaanza kuifunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…